GET /api/v0.1/hansard/entries/262651/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 262651,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/262651/?format=api",
    "text_counter": 397,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Kwa hivyo, naomba kwamba kiwango fulani kiwe. Kama ni Kaunti mbili zinafaa kupata uteuzi wa mtu mmoja. Kama ni Kaunti tatu, zinafaa kupata watu wawili. Hesabu hiyo ni rahisi. Kwa mfano, kama ni Kaunti ya Machakos ambako nataka kuwa Seneta, nitajua kwamba wadi ambazo niko nazo ni 30 au 40 na kati ya hizo ninaweza kuwateuwa wajumbe kiasi fulani, ili mambo yaweze kufanyika kwa urahisi sana bila kupoteza wakati."
}