GET /api/v0.1/hansard/entries/262653/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 262653,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/262653/?format=api",
    "text_counter": 399,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, katika Mswada huu kuna kipengele kinachosema kwamba kura itapigwa dhidi ya wajumbe ikiwa watashindwa na kazi. Hiyo inafaa na ni vizuri. Pia asilimia fulani ya kura inatakikana ili kupitishia Mswada Bungeni. Ningependekeza iwe thuluthi mbili na sio thuluthi moja, ili kuwe na uongozi wa kufaa."
}