GET /api/v0.1/hansard/entries/262656/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 262656,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/262656/?format=api",
    "text_counter": 402,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, iwapo magavana watapigiwa kura, tutapata magavana ambao wakichaguliwa tu wataanza kutumia vibaya fedha za umma na kuanza kutafuta njia za kuwa rais. Kaunti hazitafanya kazi. Tunataka ikiwezekana watu hao wachunguzwe na kufanyiwa mtihani wa kufuzu kuwa magavana, lakini wasipigiwe kura. Haya maneno ninayosema leo katika Bunge yatakumbukwa."
}