GET /api/v0.1/hansard/entries/263689/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 263689,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/263689/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, ninaomba kuchukua nafasi hii kuunga wenzangu mkono kwa kutuma rambirambi kwa familia ya mwendazake John Michuki, Mbunge wa Kangema. Ninakumbuka mwaka jana tulikuwa na mhe. Michuki Mombasa tukishughulika na Mswada wa Madini ambao tunautarajia uje hapa ili tupate kuona utaweza kutusaidia namna gani. Mhe. Naibu Spika, ni ombi langu kuwa wale ambao watabaki wakichukua wadhifa huo watashughulikia Mswada huu wa Madini maana ulikuwa umefika mbali sana na mhe. John Michuki alikuwa ameuweka maanani. Ninaomba Mola aiweke roho yake pahali pema peponi."
}