GET /api/v0.1/hansard/entries/264320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 264320,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/264320/?format=api",
    "text_counter": 178,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Rai",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Lands",
    "speaker": {
        "id": 203,
        "legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
        "slug": "samuel-rai"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, nataka nianze kwa kusema naunga mkono hii Hoja na kuwauliza Wabunge wenzangu kwamba maswala ambayo tunaenda kuyazungumzia, maswala ya ardhi ni maswala nyeti. Kwa hivyo, tunaweza kuwa na haraka ya kukimbia kana kwamba pengine mwisho wa dunia utafika kesho. Lakini ieleweke kwamba kile tutakacho kipitisha hapa huenda kikaja kikawa na madhara baada ya sisi kumaliza kupitisha zile sheria zinazohitajika kuweza kutuongoza kwa mambo ya ardhi."
}