GET /api/v0.1/hansard/entries/266364/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 266364,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/266364/?format=api",
"text_counter": 299,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo la ardhi limekuwa na tetesi nyingi nchini. Hasa nikiangalia sehemu yangu ninayowakilisha kule Wundanyi na Taita kwa jumla, nina machache ya kuzungumza. Mbuga za wanyama za Tsavo East and Tsavo West zilipata"
}