GET /api/v0.1/hansard/entries/266367/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 266367,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/266367/?format=api",
    "text_counter": 302,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Mbulia Ranch nayo pia ilijitafutia ardhi and kupata stakabadhi mwaka wa 2006 bila kuwahusisha wananchi wa Kishushe na Paranga. Katika Taveta Sisal Estate, Mwatate na Voi Wataita hawakuulizwa wakati hawa mabwana walikuwa wanapewa hayo mashamba. Pia hoteli ya Hilton ambayo sasa hivi imechukuliwa na New Stanley, ilipewa 10,000 hectares za ardhi. Je, walisema kwamba ujenzi wa hoteli unahitaji 10,000 hectares ? La! Huo ni wizi. Tunaomba mashamba hayo yarudishwe."
}