GET /api/v0.1/hansard/entries/266368/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 266368,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/266368/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna mambo niliyoshuhudia nilipokuwa mwanafunzi wa Kitado cha Kwanza katika mwaka wa 1967. Wadigo walifukuzwa kule Diani. Namaanisha kule mnakokuita Diani Complex siku hizi. Je, Waziri, wale Wadigo walilipwa? Nilikuwa kijana chipukizi wakati huo. Niliwaona wakibeba mizigo na samaki wao wakihama ili kuwapa nafasi mtengeneze mahali penu pa burudani ama mahoteli ya kifahari. Wale Wadigo walilipwa?"
}