GET /api/v0.1/hansard/entries/266369/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 266369,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/266369/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Watu wanaochimbua madini walipewa ardhi kubwa. Tukiangalia sehemu za Kishushe, kuna ardhi ambayo inagombaniwa hivi sasa. Mabaraza ya miji yaliitoa ardhi hiyo kwa watu binafsi. Je, wananchi wenyewe waliulizwa maoni? Kuna mambo ambayo yalitendeka, na tunaomba yaangaliwe upya."
}