GET /api/v0.1/hansard/entries/267885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 267885,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/267885/?format=api",
"text_counter": 274,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mbuvi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 80,
"legal_name": "Gideon Mbuvi",
"slug": "gideon-mbuvi"
},
"content": "Bw. Spika, kwa sababu hii Mombasa Republican Council inahusu Wapwani, utaniruhusu nitumie lugha ya Pwani ya Unguja, Pwani ya Tanganyika na Pwani ya Kenya. Bw. Spika, Waziri Mkuu amekuwa shoga wangu kwa miaka mingi sana. Hata hivyo, ningalipenda anapojibu swali hii ajishughulishe sana na swala la mashamba linalowakera wafuasi wa MRC."
}