GET /api/v0.1/hansard/entries/267886/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 267886,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/267886/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Khalwale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 170,
"legal_name": "Bonny Khalwale",
"slug": "bonny-khalwale"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Neno “shoga” linaweza kuwa na maana tofauti na ile mhe. Mbuvi amekusudia, hasa kwa wale watu ambao hawazungumzi Kiswahili sanifu. Wanaweza kufikiria pengine Mhe. Waziri Mkuu na Mbunge wa Makadara wako na tabia nyingine. Ninamuomba mhe. Mbuvi kulitumia neno lingine badala ya neno “shoga”."
}