GET /api/v0.1/hansard/entries/267964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 267964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/267964/?format=api",
    "text_counter": 353,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Waziri Mkuu amezungumzia hatua za Serikali kutoa mbolea ya kutosha kwa wakulima na akasema hio ndiyo juhudi ya Serikali. Sijui ikiwa Waziri Mkuu ana habari kwamba anaposema Serikali itatoa mbolea ya kutosha, tayari kuna kesi kortini. Kampuni moja kwa jina la Mea Limited imepeleka kesi kortini Halmashauri ya Nafaka isiuzie wakulima mbolea kwa bei rahisi ambayo ilikuwa imetangazwa na Serikali."
}