GET /api/v0.1/hansard/entries/269545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 269545,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/269545/?format=api",
    "text_counter": 356,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kuttuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Asante Bwana Spika. Ningependa kuomba taarifa kutoka kwa Waziri wa Kilimo. Huu ni msimu wa upanzi na wakulima wamejitayarisha lakini kuna mushkil kidogo katika pembe cheo ya kilimo. (a) Katika taarifa yake, ningependa Waziri aielezee Bunge ni mbolea kiasi gani ambayo Serikali imeagiza; (b) Waziri aielezee taifa mbolea ambayo imeagizwa itauzwa kwa bei gani kwa kila gunia; na, (c) vile vile Waziri akaririe Bunge mahala wakulima watapata mbolea hiyo."
}