GET /api/v0.1/hansard/entries/270299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 270299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/270299/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Spika, nchi hii imekuwa ni nchi ya milingoti. Safaricom ina mlingoti wake. Airtel Kenya nayo ina mlingoti wake. Wengine pia wana milingoti yao. Kwa nini hawa wote wasitumie mlingoti mmoja? Nchi yetu imekuwa ya milingoti. Labda hata Bw. Waziri Msaidizi utaitwa Waziri wa Milingoti."
}