GET /api/v0.1/hansard/entries/270300/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 270300,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/270300/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Godhana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 23,
        "legal_name": "Dhadho Gaddae Godhana",
        "slug": "dhadho-godhana"
    },
    "content": "Bw. Spika, pengine mhe. Mbunge ambaye pia ni rafiki yangu, pengine hakuelewa wakati nilitumia msamiati wa ā€œtechnological convergenceā€. Maana yake ni kuwa tunataka kuunganisha teknolojia mbalimbali ili tupunguze gharama ya kutumia milingoti mingi. Hiyo ni moja kati ya yale mambo ambayo yalichelewesha kidogo. Ningependa kumhakikishia, Bw. Mwadeghu, hayo yote tutayatekeleza."
}