GET /api/v0.1/hansard/entries/270528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 270528,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/270528/?format=api",
    "text_counter": 415,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Jambo la Nidhamu, Bw. Naibu Spika. Hili ni suala ambalo limewaadhiri Wakenya wengi. Wakenya wengi wamenyang’anywa nyumba, mashamba, biashara zao na mabenki. Je, huyu Mbunge hayuko sawa kumsifusifu Gavana; hizi shida zote ni Gavana wa kulaumiwa. Niko na ripoti hapa kutoka kwa mtandao ambayo ilitayarishwa na watu wa Reuters, na ambayo inamonyesha huyu Gavana wetu kuwa Gavana anayeshikilia mkia barani Africa; hii ndiyo ripoti."
}