GET /api/v0.1/hansard/entries/270530/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 270530,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/270530/?format=api",
    "text_counter": 417,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, isitoshe, jina la Kenya ni kubwa kushinda jina la huyu Gavana. Kutokana na ripoti ambayo nimetoa tunamomba huyu Gavana ajiuzulu kazi kwa sababu kazi imemshinda na Rais na Makamu wa Rais wamchague Gavana mwingine kwa sababu---"
}