GET /api/v0.1/hansard/entries/271559/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 271559,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/271559/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Spika nimemsikiza Waziri Msaidizi akisema kwamba wana takriban tani 27,500 za mbolea ya kupanda mazao, na takriban tani 5,000 ya mbolea ya kunyunyuzia. Niruhusu niseme hivi: Tani 27,500 ni magunia 500,050. Itashoea hekari 200,050 ilhali wakulima wana zaidi ya hekari 4,000,000 na wanahitaji zaidi ya magunia ya mbolea milioni kumi ya kupandia. Mbolea aina ya CAN ni gunia 100,000 ilhali hio ni kama hekari 75,000. Wakulima wana hekari 4,000,000 na wanahitaji magunia milioni sita. Hii ni kumaanisha kwamba kuna upungufu wa mbolea. Je, ni kwa sababu wamekosa pesa ya kuagiza mbolea ya kutosha ama kuna uzembe katika Wizara, ama kuna watu wanaotaka kutumia Wizara kujitajirisha?"
}