GET /api/v0.1/hansard/entries/272948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 272948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/272948/?format=api",
"text_counter": 294,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Naunga mkono uteuzi wa huyu kijana, Boniface Korobe, ili aweko katika halmashauri hii ya maeneo ya uwakilishi bungeni, ili naye apate kutumia taaluma yake ile Mungu amemjaalia na aweze kupeana huduma."
}