GET /api/v0.1/hansard/entries/275097/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 275097,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/275097/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kabogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 162,
        "legal_name": "William Kabogo Gitau",
        "slug": "william-kabogo"
    },
    "content": "Mhe. Spika, ninafikiri Waziri Msaidizi hajatilia maanani hili Swali kwa sababu wakati Swali liliulizwa mwezi wa pili wewe mwenyewe, Mhe. Spika ulisema tumpatie wiki mbili ili waweze kurekodi mawiano katika korti. Sasa unaona wameenda na kusukuma kesi mpaka mwezi wa tano ilhali hapo awali walisema wanataka kuuza shamba ili waweze kuwalipa wafanyakazi. Huu ni mchezo wa kutumia korti. Pia, ni muhimu kujua kuwa ni Wizara iliyowaambia wafanyakazi waende kortini. Kama ni kurekodi consent ingefanyika tu hata kama ni kesho. Kwa hivyo, ninaomba Waziri Msaidizi atilie maanani jambo hili, watoe kesi kortini ili wafanyakazi waweze kulipwa."
}