GET /api/v0.1/hansard/entries/275099/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 275099,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/275099/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kabogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 162,
"legal_name": "William Kabogo Gitau",
"slug": "william-kabogo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Umemskia Waziri Msaidizi akiniambia niende nikawajulishe wafanyakazi ilhali barua yao ya tarehe 19 ambayo nilipeana hapa Bungeni mwezi wa Oktoba mwaka wa 2006 inasema kwamba ni Serikali iliwauliza wafanyakazi waende kortini. Waziri Msaidizi amesema hapa Bungeni kuwa wamesikizana kurekodi mawiano katika korti. Sasa anataka mimi nichukue nafasi hiyo niende kuwajulisha kitu ambacho Wizara imeshafanya. Ni sawa kufanya hivyo?"
}