GET /api/v0.1/hansard/entries/276599/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 276599,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/276599/?format=api",
"text_counter": 435,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "La Mwisho ni swala la vijana. Sidhani kama umetilia maanani hela za kuwaangalia vijana. Naomba katika majadiliano ambayo tutakuwa nayo na Kamati ya Fedha, ambayo inahusika hapa Bungeni, kuanzia kesho hadi jumatatu, yale mapendekezo ambayo tutakuwa tumekupatia, utayaweka maanani ili angalau hizi fedha ambayo umeziweka katika vitengo vingine zigeuzwe na zipate kuwasaidia vijana."
}