GET /api/v0.1/hansard/entries/277805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 277805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/277805/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mung’aro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 76,
"legal_name": "Gideon Mung'aro Maitha",
"slug": "gideon-maitha"
},
"content": "Maswala ambayo nimeongea juu yake kama vile barabara, mipaka, ardhi na kadhalika ni maswala nyeti ambayo yanahitaji tuyajadili pamoja. Nikiunga mkono baadhi ya maswala katika Hotuba ya Rais, ningependa maswala hayo yatiliwe maanana na tushikane pamoja. Tusiwe kwamba makundi mengine katika Kenya yanahalalishwa na mengine yanalaaniwa kuwa haramu."
}