GET /api/v0.1/hansard/entries/277823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 277823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/277823/?format=api",
"text_counter": 294,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Joho",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Transport",
"speaker": {
"id": 30,
"legal_name": "Hassan Ali Joho",
"slug": "hassan-joho"
},
"content": "Kwanza, ningependa kuunga mkono wale viongozi waliotangulia kusema mengi yametajwa. Nashukuru Rais kwa kutambua kwamba Bunge La Kumi limekuwa likifanya kazi ambayo ni muhimu ya kupeleka Miswada mbele, na akatambua ni Miswada gani."
}