GET /api/v0.1/hansard/entries/277826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 277826,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/277826/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kiuna",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 54,
        "legal_name": "Joseph Nganga Kiuna",
        "slug": "joseph-kiuna"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bi. Naibu Spika wa Muda. Ningetaka Waziri Msaidizi afafanue zaidi kile ambacho amesema, kwamba kila Mkenya mahali alipo, ajitambulishe kama ni Mkenya wa upande huu. Je, Naibu Waziri, nafikiri sisi sote ni Wakenya, uwe Pwani, uwe Kisumu, uwe Turkana ama wapi, sisi sote ni Wakenya."
}