GET /api/v0.1/hansard/entries/281550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 281550,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/281550/?format=api",
"text_counter": 416,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Machage",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Madam Naibu Spika wa Muda, tumeitwa kuhakikishe kwamba Miswada na maswala ya ugatuzi yaangaliwe kabisa kwa makini. Haswa, litakuwa jambo ambalo halitafaa kama tutasema kwamba kuna serikali ya ugatuzi na hatutoi na kuandaa vile vitengo ambavyo vimewekwa kusudi kwamba Serikali hiyo iweze kufanya kazi. Moja wapo ya hayo mambo--- Hata Rais mwenyewe aliona kwamba kuna dosari ya kuingiliwa kwa Serikali ya Wilaya na nguvu zake. Ndio maana alisema afadhali tuangalie haya mambo tena, kusudi kusikuwe na balaa wakati wa kutekeleza sheria hii ya serikali za ugatuzi."
}