GET /api/v0.1/hansard/entries/281551/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 281551,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/281551/?format=api",
    "text_counter": 417,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Machage",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Mimi ningetaka kuwaomba Wabunge wenye hekima na waliochaguliwa na wananchi kuyaangalia haya mambo kwa maanani na kwa undani. Siyo siasa tu na kuonekana kwamba wewe unajua kupinga au wewe utakuja kupoteza kura uitwe jasiri. Unafikiri utaitwa mbumbumbu wakati huo? Naita kila mtu tuangalie haya mambo - hata maswali ya hela – ili tutoe mwongozo mzuri kwa maswala ya utekelezaji na utumiaji wa hela kwa Serikali kama ilivyo ombwa na Waziri wa Fedha."
}