GET /api/v0.1/hansard/entries/282066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 282066,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/282066/?format=api",
"text_counter": 465,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, nashukuru kwa nafasi ya kuchangia Hoja hii. Yangu yatakuwa machache. Tunapoendelea na kujitayarisha kuwaweka Wajumbe ambao watawakilisha taifa letu katika Bunge la Afrika Mashariki, nataka kutoa mwito kwamba vyama vya kisiasa vizingatie kabisa kikamilifu watu ambao wana uwezo wa kuwakilisha taifa, lakini sio kuangalia ni nani anayemfuata, kumsihi and kumtii mwingine."
}