GET /api/v0.1/hansard/entries/282067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 282067,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/282067/?format=api",
    "text_counter": 466,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ni ajabu kwamba hivi sasa tunavyongea, kampeni inaendelea ya hali ya juu sana, na cha kushangaza ni kwamba yule mtu ambaye hana muhusika katika chama ambacho kina wengi wa Wabunge ambao wataweza kuteua mwakilishi katika Bunge la Afrika ya Mashariki, huyo mtu hana lake. Hawezi kutokea pahali popote. Kwa hivyo, utagundua kwamba ni vyama tu vya kisiasa vitakavyoamua ni nani na nani ataweza kuingia pale."
}