GET /api/v0.1/hansard/entries/282068/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 282068,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/282068/?format=api",
    "text_counter": 467,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kampeni ya juu sana imeanza na majina--- Hivi sasa, mimi kama Kiranja wa Serikali, majina ninayoona ni mengi, majina ambayo yanatajwa kutoka kila chama lakini ya ajabu ni kwamba hakuna mwanawake hata mmoja. Kwa hivyo, ni juu ya wanawake wazingatie na kujitahidi kabisa kikamilifu waone kwamba wanaweza kuomba ruhusa ya kupata nafasi katika Bunge la Afrika Mashariki."
}