GET /api/v0.1/hansard/entries/282964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 282964,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/282964/?format=api",
"text_counter": 43,
"type": "speech",
"speaker_name": "Prof. Anyang’- Nyong’o",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 193,
"legal_name": "Peter Anyang' Nyong'o",
"slug": "peter-nyongo"
},
"content": "Bw. Spika, Serikali ya Kenya ina uhaba wa pesa. Kwa hivyo, sisi kama Wizara tunapendekeza Serikali ya Kenya itenge pesa za kutosha katika Bajeti ijayo ili tuweze kuwasomesha maafisa wengi ambao watakuwa na ujuzi mwingi wa kuwasaidia watoto vigugumizi hapa nchini, hasa kutoka jamii maskini."
}