GET /api/v0.1/hansard/entries/284243/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 284243,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/284243/?format=api",
"text_counter": 282,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Nimesikitishwa na matamshi ya Waziri Msaidizi. Amesema kwamba wizi wa ng'ombe utakuwa jambo la zamani. Kwa sasa, Serikali imetuma kikosi cha maafisa wa usalama kufanya operesheni katika kaskazi ya Bonde la Ufa. Hata hivyo, mpaka leo, hatujawaona maafisa wa usalama wakiwasaka majambazi. Tumeelezwa kuwa operesheni inaendelea, ilhali juzi tu, ng'ombe zaidi ya kumi waliibwa kutoka Cherang'any na kuchukuliwa mahali kwingine. Ningependa Waziri Msaidizi afafanue jambo hili. Tumeelezwa kuwa kule Trans Nzoia, maafisa wa usalama wamepelekwa Lodwar---"
}