GET /api/v0.1/hansard/entries/285250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 285250,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/285250/?format=api",
    "text_counter": 757,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Namwamba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 108,
        "legal_name": "Ababu Tawfiq Pius Namwamba",
        "slug": "ababu-namwamba"
    },
    "content": "Kwa hivyo, tunatarajia mabadiliko halisi na ambayo yatahakikisha kwamba Idara ya Polisi na usalama kwa ujumla katika taifa hili itakuwa na sura mpya. Wakenya wanataka kuona mabadiliko halisi. Sisi kama chama cha ODM; chama cha mabadiliko na chama cha Katiba, tungependa kuona mabadiliko haya yakidhihirika kwa hali na mali na kwa kila njia, hasa katika maeneo yote 47 ya taifa hili."
}