GET /api/v0.1/hansard/entries/288699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 288699,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288699/?format=api",
"text_counter": 193,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Waititu",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Water and Irrigation",
"speaker": {
"id": 147,
"legal_name": "Ferdinand Ndung'u Waititu",
"slug": "ferdinand-waititu"
},
"content": "(a) Wizara ya Maji na Unyunyizaji imekuwa na mipango ya kuvuna maji kule Samburu. Mabwawa ambayo yamechimbwa au kutolewa mchanga ni 20. Mabwawa haya yamevuna na yanahifadhi maji wakati huu wa mvua. Kiasi cha maji yaliyovunwa ni lita 500,000."
}