GET /api/v0.1/hansard/entries/288700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288700,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288700/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Waititu",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Water and Irrigation",
    "speaker": {
        "id": 147,
        "legal_name": "Ferdinand Ndung'u Waititu",
        "slug": "ferdinand-waititu"
    },
    "content": "(b) Mabwawa ambayo yameingia mchanga ni 28 katika eneo la Samburu. Lakini haya mabwawa hayajafunikwa kabisa na mchanga na yako na maji machache. Wizara iko na mipango ya kutoa mchanga unaozuia mabwawa haya kuvuna maji ya kutosha."
}