GET /api/v0.1/hansard/entries/288701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288701,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288701/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bi Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ninamshukuru Waziri Msaidizi kwa jibu lake. Hata hivyo, kuna mabwawa 93 lakini si yote ambayo yanatumiwa kuvuna maji na kuhifadhi maji. Ni mabwawa 15 ambayo inatumiwa kuvuna na kuhifadhi maji. Mabwawa mengine yote yamejaa mchanga. Je, Bw. Waziri Msaidizi anaweza kuzuru eneo hili la Samburu na kujionea mwenyewe jinsi mabwawa hayo yamejaa mchanga?"
}