GET /api/v0.1/hansard/entries/288705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288705,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288705/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Waititu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 147,
        "legal_name": "Ferdinand Ndung'u Waititu",
        "slug": "ferdinand-waititu"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kuna zaidi ya mabwawa 90 katika sehemu hiyo ya Samburu. Kulingana na rekodi yangu, kuna mabwawa 19 yaliyo na maji ya kutosha. Kuna mabwawa 28 ambayo yamefunikwa kiasi na mchanga. Mabwawa haya yana maji machache. Wizara yangu ina mipango maalum ya kuhakikisha mchanga wote umetolewa kutoka mabwawa hayo. Punde tu mvua ikipungua tutafanya hivyo."
}