GET /api/v0.1/hansard/entries/288706/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 288706,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288706/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bw. Kabogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 162,
"legal_name": "William Kabogo Gitau",
"slug": "william-kabogo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, mhe. Leshoomo amesema kuna mabwawa zaidi ya 90 na in mabwawa 15 peke yaliyo na maji. Je, Serikali imeridhika kuwa zaidi ya mabwawa 70 hayana maji? Ni mpango gani wa dharura unaoweza hakikisha mabwawa haya yote 90 yana maji ya kutosha ili wananchi wa sehemu hiyo wafaidike kwa sababu baada ya mvua kubwa athari za ukame ni nyingi sana? Je, Bw. Waziri Msaidizi anaweza kuzuru mabwawa haya wiki hii na kuhakikisha wananchi wamepata maji ya kutosha?"
}