GET /api/v0.1/hansard/entries/288709/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288709,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288709/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ochieng",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2955,
        "legal_name": "David Ouma Ochieng'",
        "slug": "david-ouma-ochieng"
    },
    "content": "Asante, Naibu Spika. Inaonekana kwamba Wizara ya Maji na Unyunyizaji haijafanya mengi kuvuna maji ya mvua na kuyahifadhi katika mabwawa mengi hapa nchini. Ni mipango gani Wizara hii inayo kuhakikisha mabwawa mengi yamejengwa katika kila wilaya ili maji ya mvua yasitiririke katika bahari lakini yawasaidie watu wakati wa ukame?"
}