GET /api/v0.1/hansard/entries/288710/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288710,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288710/?format=api",
    "text_counter": 204,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Waititu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 147,
        "legal_name": "Ferdinand Ndung'u Waititu",
        "slug": "ferdinand-waititu"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, Wizara yangu ina mipango mingi ya kuchimba mabwawa mengi katika kila wilaya. Wakati huu tuna mipango ya kuchimba zaidi ya mabwawa 22 hapa nchini. Tayari tumeshaanza kuchimba mabwawa matano makubwa katika wilaya mbalimbali hapa nchini."
}