GET /api/v0.1/hansard/entries/288711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288711/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kiptanui",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 52,
        "legal_name": "Jackson Kiplagat Kiptanui",
        "slug": "jackson-kiptanui"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Bw. Waziri Msaidizi amesema kuna mabwawa mengi hapa nchi ambayo yamefunikwa na mchanga na kwamba wako na mipango ya kuondoa mchanga huo. Je, ni pesa ngapi Serikali imetenga ya kufanya hivyo?"
}