GET /api/v0.1/hansard/entries/288717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288717,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288717/?format=api",
    "text_counter": 211,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Koech",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 56,
        "legal_name": "David Kibet Koech",
        "slug": "david-koech"
    },
    "content": "Bw. Naibu, Spika, Waziri Msaidizi anaongea kuhusu Wilaya ya Samburu ambapo ndugu zetu Wakenya huko bado wanatembea zaidi ya kilomita 100 kutafuta maji. Ametuambia sasa ya kwamba ametenga kiasi cha pesa zaidi ya Ksh70 milioni; tunaelekea mwisho wa mwaka wa matumizi ya pesa za Serikali, je, uchimbaji huu wa mabwawa katika sehemu hizo umeanza au bado? Hizi pesa zitaenda wapi tunapofikia mwisho wa matumizi ya pesa za Serikali katika bajeti ya mwaka huu?"
}