GET /api/v0.1/hansard/entries/288721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288721,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288721/?format=api",
    "text_counter": 215,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "16 Wednesday, 30th May, 2012(A) Mr. I. Muoki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bwana Naibu Spika. Vile mheshimiwa Leshoomo ameuliza, katika sehemu kame kama vile Samburu na Ukambani, kukinyesha, maji mengi yanapita katika mito hadi bahari. Kwa mfano, kuna Bwawa la Umaa ambalo limechukua kama miaka mitano kukamilika. Je, Waziri Msaidizi ana mipango gani kumaliza hilo bwawa na mabwawa mengine ambayo yako Ukambani na sehemu zingine za ukame?"
}