GET /api/v0.1/hansard/entries/288722/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 288722,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288722/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hoja ya nidhamu! Mheshimiwa, ukitaka kuuliza swali kuhusu mabwawa katika sehemu yako ya uwakilishi Bunge ni lazima ufanye hivyo kwa kuuliza Swali, na sio kwa kuteka nyara Swali la Bi. Leshoomo! Lililobaki sasa ni umsaidie Bi. Leshoomo katika Swali lake."
}