GET /api/v0.1/hansard/entries/288723/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 288723,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288723/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Shebesh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 377,
"legal_name": "Rachel Wambui Shebesh",
"slug": "rachel-shebesh"
},
"content": "Asante Bwana Naibu Spika. Kwa sababu Mheshimiwa Waziri Msaidizi amesema kwamba kuna mabwawa ambayo yana mchanga na hawezi kufanya kazi huko mpaka kiwango cha maji kiende chini, na hali bwawa hili ndilo linahifadhi maji ya watu wa Samburu, Waziri Msaidizi anaweza kupeana maji kwa kutumia magari yanayobeba maji kwa sababu maji hayo bado yanahitajika na akina mama wa Samburu?"
}