GET /api/v0.1/hansard/entries/288725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 288725,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288725/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bwana Naibu Spika, kwanza, sikubaliani na yale ambayo Waziri Msaidizi amesema hapa kwa sababu Wizara haijapeleka gari la kubeba maji kule Samburu. Pili, ni uongo Waziri Msaidizi anaposema kwamba ni lazima apate likizo ndio atembee huko. Angeenda huko kabla ya wiki ijao ili ajue ni nini anaweza kufanya. Inafaa Waziri Msaidizi achukue hatua na aache kudanganya kwa kusema kwamba ataenda Samburu tukienda likizo. Hakuna magari ya kubeba maji huko. Pesa ambazo ametenga hazijafika Samburu."
}