GET /api/v0.1/hansard/entries/288726/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 288726,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288726/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mheshimiwa Waziri Msaidizi, Bi. Leshoomo anahangaika sana kwa sababu ya matatizo ya wananchi wake. Unaweza kuzungumza kwa njia ambayo Wabunge wataridhika kwamba unafanya jambo ambalo linafaa kuwasaidia watu ambao wanaumia kwa sababu ya ukosefu wa maji?"
}