GET /api/v0.1/hansard/entries/288727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 288727,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/288727/?format=api",
    "text_counter": 221,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Waititu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 147,
        "legal_name": "Ferdinand Ndung'u Waititu",
        "slug": "ferdinand-waititu"
    },
    "content": "Bwana Naibu Spika, sijasema uongo. Ningependa Mheshimwa Leshoomo aje katika Wizara tukimaliza mambo ya Bunge ili tupange siku ambayo tutaenda huko. Pia, akija atajua mipango inayoendelea katika eneo lake kabla ya kuenda huko."
}