GET /api/v0.1/hansard/entries/289893/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 289893,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/289893/?format=api",
"text_counter": 349,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mbuvi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 80,
"legal_name": "Gideon Mbuvi",
"slug": "gideon-mbuvi"
},
"content": "Bw. Spika, ninesimama kuomba Taarifa kutoka kwa Makamu wa Rais na Waziri wa Masuala ya Ndani kuhusu kuongezeka kwa idadi ya mashoga na mabasha humu nchini, haswa humu jijini Nairobi na Mombasa. Katika Taarifa yake, ningependa Makamu wa Rais na Waziri wa Masuala ya Ndani afafanue masuala yafuatayo:- (i)Serikali ina mpango gani wa kupiga marufuku shughuli za ushoga na ubasha humu nchini; (ii) iwapo Serikali inaunga mkono ama inapinga hatua ya mashoga na mabasha kutaka kupewa leseni humu nchini; (iii) ni hatua gani mabasha na mashoga watachukuliwa wakipatikana wakiendeleza kazi zao za ubasha na ushoga katika mitaa ya Jiji la Nairobi na Mombasa; na, (iv) ni mikakati gani mwafaka Serikali imeweka kuhakikisha kwamba vijana wasio na ajira hawahusishwi na masuala ya ushoga na ubasha humu nchini."
}