GET /api/v0.1/hansard/entries/290886/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 290886,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/290886/?format=api",
    "text_counter": 401,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Namwamba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 108,
        "legal_name": "Ababu Tawfiq Pius Namwamba",
        "slug": "ababu-namwamba"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, huu ni ukandamizaji wa haki za kibanadamu wa hali ya juu ambao haustahili kuruhusiwa. Nitarudia ya kwamba Waziri atakapojibu Hoja hii, aanze na kuomba waalimu wa Kenya na Wakenya kwa jumla msamaha kwa kuwakosea heshima na kuwakandamiza jinsi hiyo."
}